TAARIFA KWA DIASPORA NA UMMA WA WATANZANIA

TAARIFA KWA DIASPORA NA UMMA WA WATANZANIA

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL), linayo furaha kubwa kuutangazia umma wa Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora) na wale waishio nyumbani Tanzania kuwa limekamilisha usajili wake nchini Sweden tarehe 18 May 2018. TDC Global imesajiliwa kama taasisi yahiari na isiyo ya kibiashara (Non Profit organisation). Namba yake ya Usajili ni 802516-6979 na anwani ya posta ni Box 1089, 10139 Stockholm, Sweden. Namba za simu kwa shughuli za kiofisi ni +46

Share this post

Comments (6)

 • Apollo Temu Reply

  Excellent! Long Overdue!

  August 1, 2018 at 10:25 am
 • Sethi Ngubila Reply

  Tunashukuruni sana jitihada hizi kwanibni muhimu kuwa navplatform kama hii kukumbuka nyumbani

  August 3, 2018 at 2:56 am
 • Hawa Madiwa Reply

  Umoja ni nguvu, tuendelee kuungana kwa pamoja huku tukipeana moyo na imani kuwa iko siku tutafanikisha haya kwa uwezo wake mungu . 🙏

  August 4, 2018 at 3:04 pm
 • Ansgar Malobola Reply

  Bravo 👍

  August 12, 2018 at 10:54 am
 • Josephine Mushumbusi Reply

  great job

  September 6, 2018 at 1:34 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *