Kuanzishwa kwa TDC Global

Kuanzishwa kwa TDC Global

TANZANIA GLOBAL DIASPORA COUNCIL (TDC GLOBAL)

 1. TDC Global ilianzishwa rasmi tarehe 01.11.2016 kwa njia ya whatsapp na
  kuanzishwa kamati maalumu ya kusimamia uanzilishi huo.
 2. Mpaka sasa TDC ina kamati yenye Wajumbe na Viongozi toka Vyama mbali mbali Duniani 118.Ndani ya Kamati hii kuna Kamati kuu 2.Moja ni ya utendaji na ya pili ni ya Viongozi walioitambua TDC kwa barua na waanzilishi wa TDC Global.
 3. Kuna viongozi wa vyama na wenyeviti,makamu na makatibu zaidi ya 80.
 4. TDC Global imekwisha tambuliwa rasmi na vyama 17 kutoka nchi mbali mbali Duniani.
 5. TDC Global imekwisha tambulishwa kwa serikali ya Tanzania na Balozi zake zote Duniani.
 6. Mpaka sasa TDC shughuli zake zinafanywa rasmi kwa kushirikiana na Serikali kwa kupitia Ubalozi uliopo Sweden ambako ndipo makao makuu yalipo kwa sasa.
 7. TDC Global imesajiliwa rasmi nchini Sweden kwa kufuata sheria za usajili wa vyama wa Sweden na kupata certificate rasmi tarehe 18.05.2018.
 8. TDC Global ina kurasa zake maalumu za mitandao ya kijamii kama ifuatavyo.

Share this post

Comments (2)

 • TAC Reply

  Habari.
  Kwanza tunapenda kuwapongeza kwa kazi nzuri na juhudi munayoonyesha ya kuwakilisha taiga, na kutetea haki za Diaspora ndani na nje ya nchi.

  Sisi ni Umoja WA watanzania Mjini Cape Town, South Africa.

  Tunafurahishwa na kuvutiwa na utendaji wenu WA kazi.

  Please tunaomba contact za mwenyekiti WA TDC.

  Asante night.

  November 13, 2018 at 2:51 am
  • Hassan Nganzo Reply

   Tunashukuru kwa pongezi zenu wanadiaspora wa Cape Town.
   Ni matarajio yetu mtaipeperusha salamu ya TDC GLOBAL kwa Watanzania waishio South Africa kwa ujumla.
   Mawasiliano ya Mwenyekiti wa TDC Global Bw Norman Jasson Ni +46 72 916 55 52 na Ya katibu wa TDC Global
   Bw Adolph Makaya ni +46 73 948 42 88.Na pia namba ya simu rasmi ya TDC Global ni +46 70 032 89 36.
   Tunawatakieni kazi njema

   Wasalaam
   TDC TEAM

   November 13, 2018 at 4:52 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *