TANGAZO KWA DIASPORA WOTE WA TANZANIA DUNIANI

TANGAZO KWA DIASPORA WOTE WA TANZANIA DUNIANI

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council linakutangazia kuanzishwa kwa kamati namba kumi ya Baraza – Kamati ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. Baraza limeona umuhimu wa kuanzisha kamati hii na kuondoa majukumu haya ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kutoka kamati namba tano – Kamati ya Vijana na kuyatengenezea kamati yake binafsi ili kuongeza tija na ufanisi, pia na kwa kuzingatia kuwa sio vijana tu ndio wanaoshughulika na Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Share this post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


X