Uwekezaji Wa Biashara Tanzania – Diaspora

Salaam wana Diaspora wote popote mlipo.Mlezi wa TDC Global Mhe Dkt. Willibrod P. Slaa anachukua fursa hii kuwakaribisha kwenye fursa nyingi za uwekezaji na biashara nchini Tanzania, wakati tunasubiri sera na sheria za Diaspora zikiandaliwa na serikali. Aidha serikali ya awamu ya sita ipo kwenye hatua nzuri ya kuboresha mazingira ya biashara kwa kufanyia marekebisho […]