Mkutano Wa Kumuaga Mlezi Wa TDC Global Mhe. Dkt Willibrod Slaa

Baraza la Diaspora la Watanzania duniani (TDC Global) linawakaribisha kwenye Mkutano wa kumuaga Mhe. Balozi Dkt. Willibrod Slaa, Balozi wa Tanzania kwa nchi za Nodiki, Baltiki na Ukraine, ambaye pia ni mlezi wa TDC Global. Mhe. Balozi  amemaliza muda wake wa utumishi katika kituo chake cha kazi. Mkutano utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 4 Septemba […]