Mkutano Mkuu TDC Global 2022 – Dodoma Tanzania

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global, linapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, linatarajia kufanya mkutano mkuu 2022 Jijini Dodoma – Tanzania. Maelezo zaidi tafadhali soma barua hapa chini.