Mabadiliko Ya Mkutano Mkuu TDC Global 2022

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani -TDC Global linawatangazia Wanachama na Umma kuwa, Mkutano Mkuu na uchaguzi wa viongozi uliokuwa unatarajiwa kufanyika tarehe 21 hadi 23 Julai 2022 jijini Dodoma Tanzania umebadilishwa. Badala yake mkutano huo utafanyika tarehe 23 Julai 2022 kwa njia ya mtandao. Taratibu za kushiriki Mkutano Mkuu na uchaguzi wa Viongozi wa TDC […]