Utaratibu Wa Kupata “Password” TdcGlobal

TDC Global inapenda kuwajulisha wanachama na diaspora kwa ujumla utaratibu wa kupata nywila “password” mpya pale kutakapokuwa na uhitaji, kutokana na kusahau au kukosea nywila yako mara nyingi katika kuingia kwenye profile yako ya TDC Global. Utaratibu wa sasa ni kama ifuatavyo:1. Kumbuka barua pepe au jina unalotumia kuingia katika mtandao wa TDC Global- (Profile)2. […]