Blog

March 2019

TANZANIA GLOBAL DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE to be held on Wednesday 9th April 2019 in Stockholm Sweden

You are invited to the Tanzanian Global Diaspora Council (TDC Global) is organising  the inaugural TANZANIA GLOBAL DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE to be held on Wednesday 9th April 2019 in Stockholm Sweden, at the TALLINK Cruise Ship Conference Room from 10.00am – 5.00pm. The Conference is being organised in collaboration with the Embassy of the United Republic of Tanzania in Nordic Countries,Baltic States and Ukraine, the Swedish-Southern African Chamber of Commerce and members of the Tanzanian Diaspora world-wide who contribute [...]

September 2018

TANGAZO KWA DIASPORA WOTE WA TANZANIA DUNIANI

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council linakutangazia kuanzishwa kwa kamati namba kumi ya Baraza – Kamati ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. Baraza limeona umuhimu wa kuanzisha kamati hii na kuondoa majukumu haya ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kutoka kamati namba tano – Kamati ya Vijana na kuyatengenezea kamati yake binafsi ili kuongeza tija na ufanisi, pia na kwa kuzingatia kuwa sio vijana tu ndio wanaoshughulika na Sanaa, Utamaduni na Michezo. SOMA ZAIDI HAPA

Kuanzishwa kwa TDC Global

TANZANIA GLOBAL DIASPORA COUNCIL (TDC GLOBAL) TDC Global ilianzishwa rasmi tarehe 01.11.2016 kwa njia ya whatsapp na kuanzishwa kamati maalumu ya kusimamia uanzilishi huo. Mpaka sasa TDC ina kamati yenye Wajumbe na Viongozi toka Vyama mbali mbali Duniani 118.Ndani ya Kamati hii kuna Kamati kuu 2.Moja ni ya utendaji na ya pili ni ya Viongozi walioitambua TDC kwa barua na waanzilishi wa TDC Global. Kuna viongozi wa vyama na wenyeviti,makamu na makatibu zaidi ya 80. TDC Global imekwisha tambuliwa rasmi na vyama 17 kutoka [...]

August 2018

TAARIFA KWA DIASPORA NA UMMA WA WATANZANIA

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL), linayo furaha kubwa kuutangazia umma wa Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora) na wale waishio nyumbani Tanzania kuwa limekamilisha usajili wake nchini Sweden tarehe 18 May 2018. TDC Global imesajiliwa kama taasisi ya hiari na isiyo ya kibiashara (Non Profit organisation). Namba yake ya Usajili ni 802516-6979 na anwani ya posta ni Box 1089, 10139 Stockholm, Sweden. Namba za simu kwa shughuli za kiofisi ni +46 729 165 [...]

July 2018

TAARIFA KWA DIASPORA NA UMMA WA WATANZANIA

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL), linayo furaha kubwa kuutangazia umma wa Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora) na wale waishio nyumbani Tanzania kuwa limekamilisha usajili wake nchini Sweden tarehe 18 May 2018. TDC Global imesajiliwa kama taasisi yahiari na isiyo ya kibiashara (Non Profit organisation). Namba yake ya Usajili ni 802516-6979 na anwani ya posta ni Box 1089, 10139 Stockholm, Sweden. Namba za simu kwa shughuli za kiofisi ni +46 Soma zaidi hapa

ESTABLISHMENT OF TDC GLOBAL STANDING COMMITTEES

TDC GLOBAL Executive Committee is hereby announcing the intention to establish the following TDC Global’s Standing Committees: IT and Social Media committee Tanzania Diaspora Chamber of Commerce and Industry Committee Investment and Financial Committee Elderly Affairs Committee Youth Affairs Committee Women Committee Social Welfare Committee Professionals, Skills and Innovation Committee Philanthropy and Fundraising Committee TDC Global Executive Committee will be happy to receive applications from members of TDC Global and Diaspora who are interested in joining efforts and working with us on any of the above Standing Committees. Those who [...]

UJUMBE KWA WATANZANIA DIASPORA

Wanadiaspora ni muhumu tukatambua kwamba ni  jambo la busara kwa sisi sote kuungana na kuwa na sauti moja kwa mafanikio ya wanadiaspora. Na pia ni jukumu la kila mmoja wetu kuendelea kuwajulisha wanadiaspora kujiunga kwa pamoja katika umoja huu ulioanzishwa kwa ajili ya wanadiaspora kwa kupitia tivoti ya TDC Global  ( https://tdcglobal.org/member-register/ ). (Tanzania Global Diaspora Council – TDC GLOBAL). TDC Global ni umoja ambao unawakusanya watanzania diaspora popote walipo duniani kwa kupitia vyama vilivyopo katika nchi,majimbo na vitongoji wanamo ishi na [...]