TAARIFA-YA-MKUTANO-MUU-WA-TDC-GLOBAL-TALLIN-2019

TDC-Global ilifanya mkutano wake mkuu wa kwanza tarehe Aprili 10,2019 katika ukumbi wa meliya Tallink mjiniTallin nchini Estonia.Mkutano huo ulishuhudiwa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mhe. Salum Maulid Salum,Mhe. Balozi Anisa Mbega, Mkurugenziwa Dawati la Diaspora la Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Willibrod SIaa Mlezi wa TDC Global na Baloziwa Tanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine pamoja na wageni wengine wakiwemoDiaspora wa Tanzania kutoka nchi mbalimbali Duniani. SOMA...

Read more...

Kuanzishwa kwa TDC Global

TANZANIA GLOBAL DIASPORA COUNCIL (TDC GLOBAL) TDC Global ilianzishwa rasmi tarehe 01.11.2016 kwa njia ya whatsapp na kuanzishwa kamati maalumu ya kusimamia uanzilishi huo. Mpaka sasa TDC ina kamati yenye Wajumbe na Viongozi toka Vyama mbali mbali Duniani 118.Ndani ya Kamati hii kuna Kamati kuu 2.Moja ni ya utendaji na ya pili ni ya Viongozi walioitambua TDC kwa barua na waanzilishi wa TDC Global. Kuna viongozi wa vyama na wenyeviti,makamu na makatibu zaidi ya 80. TDC Global imekwisha tambuliwa rasmi na vyama 17 kutoka...

Read more...

ESTABLISHMENT OF TDC GLOBAL STANDING COMMITTEES

TDC GLOBAL Executive Committee is hereby announcing the intention to establish the following TDC Global’s Standing Committees: IT and Social Media committee Tanzania Diaspora Chamber of Commerce and Industry Committee Investment and Financial Committee Elderly Affairs Committee Youth Affairs Committee Women Committee Social Welfare Committee Professionals, Skills and Innovation Committee Philanthropy and Fundraising Committee TDC Global Executive Committee will be happy to receive applications from members of TDC Global and Diaspora who are interested in joining efforts and working with...

Read more...

POLITICAL AND DIPLOMATIC CONSULTATIONS BETWEEN TANZANIA AN NORWAY JUNE 2018

Tanzania Foreign Minister Hon. Dr. Augustine Mahiga and Ambassador of Tanzania to Norway, H.E Dr Willibrod Slaa held political and diplomatic consultations during their 3 day visit to Norway. Members of the Norwegian African Business Association (NABA) focusing on Tanzania, held a business meeting with the Tanzanian Delegation led by Minister Mahiga. NABA is planning a Business Delegation to Tanzania in November 2018. Tanzania Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Augustine Mahiga and Ambassador Dr. Willibrod Slaa at...

Read more...