Uwekezaji Wa Biashara Tanzania – Diaspora

Salaam wana Diaspora wote popote mlipo.Mlezi wa TDC Global Mhe Dkt. Willibrod P. Slaa anachukua fursa hii kuwakaribisha kwenye fursa nyingi za uwekezaji na biashara nchini Tanzania, wakati tunasubiri sera […]

Shukrani Toka TDC Global

Uongozi wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global unatoa shukrani kwa diaspora Watanzania, kwa ushirikiano mliotupatia katika kufanikisha maombi rasmi ya Hadhi Maalum. Tafadhali soma barua rasmi toka TDC […]

Mazishi ya Hayati. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli

  BARAZA LA DIASPORA WATANZANIA DUNIANI – TDC GLOBAL LINAWAKARIBISHA DIASPORA WOTE NA UMMA KUSHIRIKI MUBASHARA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU HAYATI DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MOJA KWA MOJA […]

Twende Twende Dodoma – Jiandikishe Twende

WASATU-TDC-Twende-Dodoma WASATU – Wakikukaribisha kujiandikisha ili Tuende Dodoma kwenye tukio la mkutano mkuwa wa Watanzania wote na Diaspora. Utakao fanyika mjini Dodoma Tanzania mwezi wa Juni Tarehe 23-26 2021.  Jiandikishe […]

Eye Health Camp (2021) – Press Release

The Tanzania Global Diaspora Council (TGDC) is pleased to announce that Tanzanians in the diaspora will host Eye Health Camp (2021) for three (3) days, from 23rd to 26th June […]

Maboresho Ya Katiba Ya TDC Global

Uongozi wa TDC Global unapenda kuwajulisha wanajumuiya wake na watanzania duniani kuwa, mchakato wa kuboresha katiba ya TDC Global umeanza. Kuanza kwa mchakato huo kunatoa nafasi kwa wadau wa diaspora […]

Maandalizi ya Siku Ya Diaspora Na Nyumbani 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Dunian – TDC Global kwa heshima kubwa linawatangazia Diaspora Watanzania Duniani kuzinduliwa rasmi kwa usajili wa ushiriki wa mkutano mkuu na siku ya Diaspora Watanzania Duniani […]

Diaspora Na Nyumbani 2021

https://tdcglobal.org/wp-content/uploads/2020/12/TDC_mwenyekiti.mp4#t=2 Mwenyekiti wa TDC Global, Bi Bupe Amon Kyelu akitoa taarifa kuhusu tukio kubwa la TDC Global linalojulikana kwa jina la Diaspora Na Nyumbani 2021 Ambalo linatarajiwa kufanyika mjini Dodoma […]