Maboresho Ya Katiba Ya TDC Global

Uongozi wa TDC Global unapenda kuwajulisha wanajumuiya wake na watanzania duniani kuwa, mchakato wa kuboresha katiba ya TDC Global umeanza. Kuanza kwa mchakato huo kunatoa nafasi kwa wadau wa diaspora kutoa maoni, mapendekezo kuhusu katiba ya TDC Global. Fomu ya mapendekezo ya katiba Maelezo zaidi tafadhali soma barua rasmi hapa chini.

Maandalizi ya Siku Ya Diaspora Na Nyumbani 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Dunian – TDC Global kwa heshima kubwa linawatangazia Diaspora Watanzania Duniani kuzinduliwa rasmi kwa usajili wa ushiriki wa mkutano mkuu na siku ya Diaspora Watanzania Duniani vitakavyo fanyika kuanzia tarehe 23 Juni 2021 mpaka 26 Juni 2021 mjini Dodoma Tanzania. Kila mshiriki wa mkutano huo anatakiwa kujisajili na kulipa gharama za […]

Diaspora Na Nyumbani 2021

https://tdcglobal.org/wp-content/uploads/2020/12/TDC_mwenyekiti.mp4#t=2 Mwenyekiti wa TDC Global, Bi Bupe Amon Kyelu akitoa taarifa kuhusu tukio kubwa la TDC Global linalojulikana kwa jina la Diaspora Na Nyumbani 2021 Ambalo linatarajiwa kufanyika mjini Dodoma nchini Tanzania mwezi wa 6 2021. Pamoja na masuala mengine, Mwenyekiti wa TD Global, amewataka watanzania wote waishio kwenye maeneo mbalimbali duniani, kujiunga na kuwa […]

Karibu Kujiandikisha TDC Global

Mwenyekiti wa TDC Global Bi. Bupe Amon Kyelu anawakaribisha Diaspora Watanzania Duniani kujiunga na Baraza la Diaspora wa Tanzania duniani TDC GLOBAL. Kujiunga uanachama tafadhali bonyeza kiungo hiki TDC GLOBAL ndio Taasisi rasmi inayotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa  kuwaunganisha na kuwawakilisha Diaspora Watanzania Duniani bila kujali mipaka ya nchi zao […]

Taarifa Kuhusu Mkutano Mkuu 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global linayo furaha kubwa sana kuwatangazia kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeidhinisha Mkutano Mkuu wa TDC Global na siku ya Diaspora kufanyika jijini Dodoma Tanzania tarehe 23 – 26 June 2021. Kutokana na maamuzi hayo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, TDC Global […]

MAELEZO KUHUSU TARATIBU ZA KUINGIZA NA KUTOA MIZIGO

Diaspora wa Kitanzania ni mtu yeyote ambaye ni raia au asiye raia wa Tanzania lakini anauasili (origin) wa Kitanzania ambaye kwa sasa anaishi na kufanya kazi au biashara kwenye nchi za Ughaibuni (foreign countries) Diaspora wa Kitanzania ambao wanaamua kurejea..  

MKUTANO-MKUU-WA-SKYPE-MAY.

[vc_row][vc_column][vc_column_text]MKUTANO WA KAMATI KUU YA TDC GLOBAL WA TAREHE Kamati Kuu ya Barazala Diasporawa Tanzania Duniani[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column][vc_btn title=”SOMA HAPA” color=”success” align=”center” i_align=”right” i_icon_fontawesome=”fa fa-file-pdf-o” add_icon=”true” link=”url:https%3A%2F%2Ftdcglobal.org%2Fwp-content%2Fmultiverso-files%2F202_5b5db66660eae%2FMKUTANO-MKUU-WA-SKYPE-MAY.pdf||target:%20_blank|”][/vc_column][/vc_row]

TAARIFA-YA-MKUTANO-MUU-WA-TDC-GLOBAL-TALLIN-2019

[vc_row][vc_column][vc_column_text] TDC-Global ilifanya mkutano wake mkuu wa kwanza tarehe Aprili 10,2019 katika ukumbi wa meliya Tallink mjiniTallin nchini Estonia.Mkutano huo ulishuhudiwa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mhe. Salum Maulid Salum,Mhe. Balozi Anisa Mbega, Mkurugenziwa Dawati la Diaspora la Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Willibrod SIaa […]

TANGAZO KWA DIASPORA WOTE WA TANZANIA DUNIANI

[vc_row][vc_column][vc_column_text]Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council linakutangazia kuanzishwa kwa kamati namba kumi ya Baraza – Kamati ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. Baraza limeona umuhimu wa kuanzisha kamati hii na kuondoa majukumu haya ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kutoka kamati namba tano – Kamati ya Vijana na kuyatengenezea kamati yake binafsi […]

Kuanzishwa kwa TDC Global

[vc_row][vc_column][vc_column_text]TANZANIA GLOBAL DIASPORA COUNCIL (TDC GLOBAL) TDC Global ilianzishwa rasmi tarehe 01.11.2016 kwa njia ya whatsapp na kuanzishwa kamati maalumu ya kusimamia uanzilishi huo. Mpaka sasa TDC ina kamati yenye Wajumbe na Viongozi toka Vyama mbali mbali Duniani 118.Ndani ya Kamati hii kuna Kamati kuu 2.Moja ni ya utendaji na ya pili ni ya Viongozi […]