Diaspora Na Nyumbani 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global linaomba kuwajulisha kuwa limeahirisha mkutano mkuu na mkutano wa Diaspora Watanzania Duniani , uliokuwa ufanyike Jijini Dodoma Tanzania kuanzia tarehe 23 hadi 26 June 2021.