Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

KONGAMANO LA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI LA TDC GLOBAL – LIMEAHIRISHWA

March 19 @ 6:30 am

Kongamano la Wanawake la TDC Global lililokuwa lifanyike tarehe 20 Mach, 2021 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni kwa saa za Tanzania kupitia mtandao wa Zoom, limehairishwa hadi tarehe nyingine itakayopangwa baadaye.

Taarifa zaidi kuhusu kongamano hilo zltatolewa na uongozi wa TDC Global.
Kamati kuu inawashukuru Diaspora kwa utulivu na n’ratumizi bora ya mitandao ya TDC Global muda wote na katika wakati huu mgumu kwa kila mmoja wetu.

KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI:

SIMU: +46739484288
ANUANI PEPE: info@tdcglobal.org

DIASPORA NA NYUMBANI 2021

Details

Date:
March 19
Time:
6:30 am

Organizer

TDC Global
Email:
info@tdcglobal.org
View Organizer Website