MAOMBI YA VIZA KWA KONGAMANO

Home_backup Forums TDC LAUNCH APRIL 9-11-2019 MAOMBI YA VIZA KWA KONGAMANO

Viewing 1 post (of 1 total)
 • Author
  Posts
 • #3051
  Hassan Nganzo
  Participant
  @nganzo88

  Habari
  Kwa mahitaji ya Viza, Ili TDC watoe invitation inatakiwa;
  1. Full Name
  2. Date of birth
  3. Ppt number and validity
  4. Date of entry and exit (Andika vizuri tarehe mfano siku 3 kabla na 3 baada ili isiwe stress ya Visa kuexpire).
  Tuma Details za Passport yako (copy) viza@tdcglobal.org mapema iwezakanavyo. TDC Global itatoa barua ya mwaliko kwa ajili ya kuombea Viza pindi utakapokuwa umekamilisha kujisajili kuhudhuria na kukamilisha malipo ya malazi na chakula kwa siku hizo 2.
  Kuwa makini na attachments zinazotakiwa huko Sweden embassy mahala unapoombea.
  Travel insurance.KUMBUKA UNATAKIWA KUWA NA BIMA YA SAFARI. https://www.erv.se/privat/pages-in-english/travel-insurance/
  Kufanya usajili kwa ajili ya kongamano na kulipia chumba na huduma nyingine wakati wa kongamano tafadhari bonyeza link hii https://www.tallinksilja.se/tdcglobal maelezo yote muhimu utayakuta wakati unafanya usajili wako. Watu wanaweza kuwa group la watu wanne (4)na kulipia chumba kimoja chenye vitanda 4 na kuokoa pesa kwa kulipia kila mtu chumba chake. TDC Global imeandaa kongamano hili bure na hakuna malipo yeyote utakayolipa yanayokwenda kwa TDC Global.
  Baada ya hapo ingia kwa link https://tdcglobal.org/tdc-launch-conference/ hii kujiandikisha kuwa utahudhuria ili kupata hesabu ya watakao hudhuria.

  Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi:

Viewing 1 post (of 1 total)
 • You must be logged in to reply to this topic.