[vc_row][vc_column][vc_column_text]

Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council limezindua rasmi kamati ya Hadhi Maalum tarehe 11 Julai 2020. Kamati imepewa jukumu la kukusanya maoni toka kwa (Diaspora) wote wenye nasaba za Tanzania  na familia zao, Kuratibu na kutengeneza muswada wa sera ya Diaspora itakayowakilishwa serikalini ikiwa ni sehemu ya maombi rasmi ya Hadhi Maalum ya diaspora kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kamati ya muda ya Hadhi Maalum ya TDC Global itakusanya pia kanzi data ya idadi ya Diaspora wa Tanzania duniani na idadi ya diaspora waliokwisha wekeza kibinafsi nchini Tanzania kwa nia ya kutambua mchango wao na kusaidia zoezi la utungaji wa sera ya diaspora Tanzania.

kwa mawasiliano na maoni kwa kamati ya Hadhi Maalum ya TDC Global tafadhari tumia barua pepe ya hadhimaalum@tdcglobal.org

Unaweza pia kujiunga na mitandao ya Whatsapp na Telegram ya Kamati ya Hadhi Maalum ili kuwasilisha maoni yako.

[/vc_column_text][vc_btn title=”Utafiti mfupi kuhusu hadhi maalum” style=”flat” shape=”rounded” color=”success” size=”xl” align=”center” link=”url:https%3A%2F%2Fwww.surveymonkey.co.uk%2Fr%2FH32TG8M||target:%20_blank|”][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column][vc_tta_accordion][vc_tta_section title=”Majina Ya VIongozi Na Wajumbe Wa Kamati Ya Hadhi Maalum-TDC Global” tab_id=”1596060636121-83c718da-d412″][vc_column_text]

MAJINA YA VIONGOZI NA WAJUMBE WA KAMATI YA HADHI MAALUM-TDC GLOBAL

NO

JINA

NAFASI

NCHI

SIMU

01

Walter P. Makundi

Mwenyekiti

Singapore

+6587797475

02

Deodatus R. Komola

Makamu Mwenyekiti

Italia

+393899653531

03

Jessica K. Mushala

Katibu

USA

+13018074934

04

Othman Maganga

Naibu Katibu

England

+447851919602

05

Issa Musa Hamis

Mawasiliano/Uhamasishaji

Sweden

06

Maggid Mjengwa

Mawasiliano/Uhamasishaji

Tanzania

07

Phesto Mwakyusa

Tehama/Miundo mbinu

Finland

08

Chediel W. Mloka

Mjumbe

Australia

09

Elihuruma E. Stephano

Mjumbe

China

10

Passy Tindi Barongo

Mjumbe

Sweden

11

Joe Warioba

Mjumbe

England

12

Halifa S. Hemed

Mjumbe

Tanzania

13

Martha Kente A.

Mjumbe

Sweden

14

Faraji H. Emily

Mjumbe

Moldavia

15

Abraham J Ndwatta

Mjumbe

Sweden

16

Slim Slim

Mjumbe

Tanzania

17

Annastazia Felbo

Mjumbe

Denmark

18

Othmar O Mwambe

Mjumbe

Japan

19

Honoratus Kikulugaa

Mjumbe

Sweden

20

Janja Kibosha Janja

Mjumbe

UAE

21

Mohamedy J. Abubakari

Mjumbe

UAE

22

Baraka Mussa Nandone

Mjumbe

RSA

23

Joseph Katallah

Mjumbe

Canada

24

Agness P. Lerdorf

Mjumbe

Denmark

25

Fadhili Mansour

Mjumbe

Misri

26

Ahmed S. Ilyas

Mjumbe

Denmark

27

Elizabeth Pedersen

Mjumbe

Sweden

28

Neema Machege Lake

Mjumbe

Ufaransa

29

Tesha Cleophas

Mjumbe

Kenya

[/vc_column_text][/vc_tta_section][vc_tta_section title=”Section 2″ tab_id=”1596060636211-abd91491-e6c7″][/vc_tta_section][/vc_tta_accordion][/vc_column][/vc_row]