Mwenyekiti TDC Global
TDC Global

TDC Global

Karibu Kujiandikisha TDC Global

Mwenyekiti wa TDC Global Bi. Bupe Amon Kyelu anawakaribisha Diaspora Watanzania Duniani kujiunga na Baraza la Diaspora wa Tanzania duniani TDC GLOBAL.

Kujiunga uanachama tafadhali bonyeza kiungo hiki  

TDC GLOBAL ndio Taasisi rasmi inayotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa  kuwaunganisha na kuwawakilisha Diaspora Watanzania Duniani bila kujali mipaka ya nchi zao za makazi.
Jiunge sasa bado haujachelewa.

Imetolewa na Uongozi TDC Global.

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email