TDC Global

TDC Global

KUAHIRISHWA Kwa Kongamano la Wanawake la TDC Global

Kongamano la Wanawake la TDC Global lililokuwa lifanyike tarehe 20 Mach, 2021 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni kwa saa za Tanzania kupitia mtandao wa Zoom, limehairishwa hadi tarehe nyingine itakayopangwa baadaye.

Taarifa zaidi kuhusu kongamano hilo zltatolewa na uongozi wa TDC Global.
Kamati kuu inawashukuru Diaspora kwa utulivu na matumizi bora ya mitandao ya TDC Global muda wote na katika wakati huu mgumu kwa kila mmoja wetu.

KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI:

SIMU: +46739484288
ANUANI PEPE: info@tdcglobal.org

 

TAARIFA KWA UMMA MACHI 18

Share this post