Uongozi wa TDC Global unapenda kuwajulisha wanajumuiya wake na watanzania duniani kuwa, mchakato wa kuboresha katiba ya TDC Global umeanza. Kuanza kwa mchakato huo kunatoa nafasi kwa wadau wa diaspora kutoa maoni, mapendekezo kuhusu katiba ya TDC Global.
Maelezo zaidi tafadhali soma barua rasmi hapa chini.
Mapendekezo ya Katiba