Mapendekezo Mkutano Mkuu 2025-2026
Baraza la Diaspora Watanzania Duniani- TDC GLOBAL, linapenda kuwashirikisha wanachama na diaspora wa Tanzania duniani katika maandalizi ya mkutano mkuu 2025/2026. Kwa kutambua umuhimu wa maoni yenu katika kufanikisha mkutano huo. TDC Global inaomba ujibu maswali machache ya utafiti yanayofuata hapa chini.