TDC Global

Ndugu

Mwana diaspora,
KARIBU
KUBoresha katiba ya tdc-Global

Je, Umeisoma Katiba Ya Sasa?

Ili kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa mapendekezo na maboresho ya katiba, ni muhimu kuisoma na kuielewa katiba iliyopo sasa. Hii itatoa nafasi kwako kupata uelewa sawia wa ubora na mapungufu yake, hivyo kukuwezesha kutoa mapendekezo chanya.

marekebisho na mapendekezo ya katiba ya tdc global

Fomu ya marekebisho ya katiba ya TDC Global, inaweza kujazwa na mwana diaspora yeyote wa kitanzania mwenye nia ya kuwakilisha mapendekezo yake yake kwa ajili ya kuboresha katiba ya TDC Global.

[gravityform id="2" title="true" description="false" ajax="true"]
icon About

My mission is to help TDC Global to become a home community for All tanzanian diaspora in the world.