Utafiti wa Maandalizi ya Mkutano Mkuu TDC Global
Baraza la diaspora la Watanzania duniani linawaalika diaspora kushiriki katika utafiti kwa kujibu maswali machache. Majibu ya utafiti huu yatazingatiwa na uongozi katika maandalizi ya mkutano mkuu na kongamano la TDC Global litalofanyika 2026. Karibuni
