TDC Global

TDC Global

Mazishi ya Hayati. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli

 

BARAZA LA DIASPORA WATANZANIA DUNIANI – TDC GLOBAL LINAWAKARIBISHA DIASPORA WOTE NA UMMA KUSHIRIKI MUBASHARA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU HAYATI DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MOJA KWA MOJA KWA NJIA YA MTANDAO WA ZOOM.

WASHIRIKI WOTE TUTAFUATILIA TARATIBU ZA MAZISHI KAMA RATIBA YA SERIKALI INAVYOONYESHA NA BAADA YA MAZISHI TUTA KUWA NA DUA/MAOMBI NA KUKAA KIMYA KWA DAKIKA TATU ISHARA YA KUTOA NAFASI KWA KILA MSHIRIKI KUMUOMBEA RAIS WETU.

BAADA YA TUKIO HILO UONGOZI WA TDC GLOBAL UTATOA SHUKRANI KWA WASHIRIKI NA KUFUNGA TUKIO HILI MUHIMU. KUJIUNGA NA MTANDAO WA ZOOM TAFADHARI TUMIA TAARIFA ZIFUATAZO:

TAARIFA ZA KUJIUNGA NA ZOOM

https://zoom.us/j/91342318160?pwd=VjV6TGRUM2Y2R050Qi9ldnd4YWk0UT09

Muda: Saa Sita Kamili Mchana saa za Afrika Mashariki
Meeting ID: 913 4231 8160
Passcode: 043755

RATIBA YA MAZISHI HAYATI JOHN P. MAGUFULI

UONGOZI WA TDC GLOBAL UNATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWA WASHIRIKI WOTE.

AGNES LERDORF
MWENYEKITI MAHUSIANO YA UMMA.
TDC GLOBAL

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email