Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global, linapenda kuwajulisha wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, linatarajia kufanya mkutano mkuu 2022 Jijini Dodoma – Tanzania.
Maelezo zaidi tafadhali soma barua hapa chini.
Taarifa kwa Umma_2021-12-17_Mutano Mkuu 2022_211217_180845