TDC Global
TDC Global

TDC Global

Mkutano Wa Kumuaga Mlezi Wa TDC Global Mhe. Dkt Willibrod Slaa

Baraza la Diaspora la Watanzania duniani (TDC Global) linawakaribisha kwenye Mkutano wa kumuaga Mhe. Balozi Dkt. Willibrod Slaa, Balozi wa Tanzania kwa nchi za Nodiki, Baltiki na Ukraine, ambaye pia ni mlezi wa TDC Global. Mhe. Balozi  amemaliza muda wake wa utumishi katika kituo chake cha kazi.

Mkutano utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021,  kuanzia saa saba mchana (13:00) hadi saa tisa alasiri (15:00) saa za Afrika Mashariki. Diaspora wote mnaombwa kushiriki kwa pamoja katika kumuaga na pia kusikiliza nasaha za mlezi wetu kwa mara ya mwisho akiwa katika nafasi hiyo.

Ratiba na taarifa nyingine kuhusiana na mkutano huu zitaongezwa hapa kwa kadiri zinavyo kamilika.

TAARIFA YA MKUTANO

Share this post