TDC Global

TDC Global

Shukrani Toka TDC Global

Uongozi wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global unatoa shukrani kwa diaspora Watanzania, kwa ushirikiano mliotupatia katika kufanikisha maombi rasmi ya Hadhi Maalum. Tafadhali soma barua rasmi toka TDC Global

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email