TDC Global Support Portal

Changia Matukio kama misiba n.k, Michango ya kamati mbali mbali pamoja na kuchangia TDC Global..

Changia Matukio

Ukiwa kama mwanachama wa TDC tunasisitiza kuchangia na kushiriki kwenye matukio yote kama misiba, maradhi n.k.

Michango ya Kamati

Michango yote ya kamati mabalimbali za TDC yatafanyika hapa na kila kamati itakuwa na account ndani ya hii portal.

Changia (DONATE)

Michango yote kwa ajili ya kuimarisha shughuli mbalimbali za TDC itafanyika hapa.