Utafiti mfupi kuhusu HADHI MAALUM kwa watanzania waishio ughaibuni

Dhumuni na malengo ya utafiti huu ni kukamilisha zoezi la kukusanya maoni wakilishi na kujumuisha na maoni mengine yote yaliyokwisha tolewa katika maeneo mbali mbali duniani naTanzania Diaspora kwa ajili kuomba HADHI MAALUM kutoka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

HADHI MAALUM ni haki maalum itakayotolewa kisheria na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa watu wote wenye asili/nasaba ya Tanzania. “Mafanikio yetu yanategemeana na ushiriki wako”

The purpose and objectives of this survey are to complete the activity of collecting representative opinions and nevertheless to incorporate opinions/suggestions (given by Tanzania Diaspora) previously collected across the globe in order to apply for SPECIAL STATUS from the Government of the United Republic of Tanzania.

SPECIAL STATUS is the special right legally to be granted by the Government of the United Republic of Tanzania to anyone who has origin/ancestry from Tanzania.

“Our success depends on your participation”
 • Sehemu Ya Pili

  JE WEWE UPO KWENYE KUNDI LIPI LA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI (TANZANIA DIASPORA)?
 • Sehemu Ya Tatu

  HABARI ZA JUMLA (General information)
 • MAMBO AMBAYO UNGEPENDA YAWEMO KWENYE HADHI MAALUM:-

  weka namba kulingana na umuhimu (1 mpaka 8) 1- Muhimu kuliko yote (Insert number based on importance (1 to 8)) 1- The most important
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • Please enter a number from 1 to 8.
 • (If there is (are) any other idea not listed above (3) but you think should have been included in the DIASPORA SPECIAL STATUS wish list please add below alternatively send email to hadhimaalum@tdcglobal.org
 • (If you have any other comment(s)/suggestion(s) of what should be done to facilitate or accelerate the process of granted special status to Tanzania Diaspora please add your comments here alternatively send email to hadhimaalum@tdcglobal.org)
 • This field is for validation purposes and should be left unchanged.