TGDC_logo_final
mrina

mrina

TAARIFA KWA DIASPORA NA UMMA WA WATANZANIA

[vc_row][vc_column][vc_column_text]Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL), linayo furaha kubwa kuutangazia umma wa Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora) na wale waishio nyumbani Tanzania kuwa limekamilisha usajili wake nchini Sweden tarehe 18 May 2018. TDC Global imesajiliwa kama taasisi yahiari na isiyo ya kibiashara (Non Profit organisation). Namba yake ya Usajili ni 802516-6979 na anwani ya posta ni Box 1089, 10139 Stockholm, Sweden. Namba za simu kwa shughuli za kiofisi ni +46[/vc_column_text][vc_btn title=”Soma zaidi hapa” color=”green” align=”right” i_align=”right” i_icon_fontawesome=”fa fa-file-pdf-o” add_icon=”true” link=”url:https%3A%2F%2Ftdcglobal.org%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F07%2FTAARIFA-YA-VIONGOZI-KWA-UMMA-KATIBU-..pdf||target:%20_blank|”][/vc_column][/vc_row]

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email