sweeden
mrina

mrina

TAARIFA-YA-MKUTANO-MUU-WA-TDC-GLOBAL-TALLIN-2019

[vc_row][vc_column][vc_column_text]

TDC-Global ilifanya mkutano wake mkuu wa kwanza tarehe Aprili 10,2019 katika ukumbi wa meliya Tallink mjiniTallin nchini Estonia.Mkutano huo ulishuhudiwa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mhe. Salum Maulid Salum,Mhe. Balozi Anisa Mbega, Mkurugenziwa Dawati la Diaspora la Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Willibrod SIaa Mlezi wa TDC Global na Baloziwa Tanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine pamoja na wageni wengine wakiwemoDiaspora wa Tanzania kutoka nchi mbalimbali Duniani.

[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column][vc_btn title=”SOMA ZAIDI HAPA” color=”turquoise” align=”center” i_align=”right” i_icon_fontawesome=”fa fa-file-pdf-o” add_icon=”true” link=”url:https%3A%2F%2Ftdcglobal.org%2Fwp-content%2Fmultiverso-files%2F418_5b96dd68c612a%2FTAARIFA-YA-MKUTANO-MUU-WA-TDC-GLOBAL-TALLIN-2019.pdf||target:%20_blank|”][/vc_column][/vc_row]

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email