IMG-20180817-WA0035
mrina

mrina

TANGAZO KWA DIASPORA WOTE WA TANZANIA DUNIANI

[vc_row][vc_column][vc_column_text]Baraza la Diaspora wa Tanzania Duniani – Tanzania Global Diaspora Council linakutangazia kuanzishwa kwa kamati namba kumi ya Baraza – Kamati ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. Baraza limeona umuhimu wa kuanzisha kamati hii na kuondoa majukumu haya ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kutoka kamati namba tano – Kamati ya Vijana na kuyatengenezea kamati yake binafsi ili kuongeza tija na ufanisi, pia na kwa kuzingatia kuwa sio vijana tu ndio wanaoshughulika na Sanaa, Utamaduni na Michezo.[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row][vc_row][vc_column][vc_btn title=”SOMA ZAIDI HAPA” color=”success” align=”center” i_align=”right” i_icon_fontawesome=”fa fa-file-pdf-o” add_icon=”true” link=”url:https%3A%2F%2Ftdcglobal.org%2Fwp-content%2Fuploads%2F2018%2F09%2FKAMATI-NO-10.pdf||target:%20_blank|”][/vc_column][/vc_row]

Share this post

Share on facebook
Share on google
Share on twitter
Share on linkedin
Share on pinterest
Share on print
Share on email