WASATU – Wakikukaribisha kujiandikisha ili Tuende Dodoma kwenye tukio la mkutano mkuwa wa Watanzania wote na Diaspora. Utakao fanyika mjini Dodoma Tanzania mwezi wa Juni Tarehe 23-26 2021. Jiandikishe sasa!
Jiandikishe! Twende Dodoma, Tuna Jambo Letu
Wewe mtanzania, mwana Diaspora! karibu ujiandikishe Tukatekeleze Jambo Letu mjini Dodoma.
Leave a Reply