Kwa nini kila mhudhuriaji anatakiwa kulipia kiasi cha 100$?
Uandaaji wa mkutano huu, una gharama zake na mahitaji muhimu wakati wa mkutano. Hivyo kila mhudhuriaji anahusika kuchangia gharama hizo kwa kiasi hicho cha dola 100.
Je, utaratibu wa malazi kwa wahudhuriaji ukoje?
Wahudhuriaji wote wanatakiwa kufanya maandalizi ya malazi na chakula. TDC Global imefanya mawasiliano na kuweka orodha ya hoteli ambazo zinatoa huduma hiyo. Lakini utaratibu wa kufanya booking na malipo, ni […]
Lini mkutano unafanyika na unatarajia kufanyikia wapi?
Diaspora na Nyumbani 2021 itafanyikia makao makuu ya Tanzania, mkoa wa Dodoma. Kuanzia June 23 2021 mpaka June 26 2021.