Wahudhuriaji wote wanatakiwa kufanya maandalizi ya malazi na chakula. TDC Global imefanya mawasiliano na kuweka orodha ya hoteli ambazo zinatoa huduma hiyo. Lakini utaratibu wa kufanya booking na malipo, ni jukumu la mhudhuriaji.

Comment on this FAQ

Your email address will not be published. Required fields are marked *