Mabadiliko Ya Mkutano Mkuu TDC Global 2022

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani -TDC Global linawatangazia Wanachama na Umma kuwa, Mkutano Mkuu na uchaguzi wa viongozi uliokuwa unatarajiwa kufanyika tarehe 21 hadi 23 Julai 2022 jijini Dodoma Tanzania umebadilishwa. Badala yake mkutano huo utafanyika tarehe 23 Julai 2022 kwa njia ya mtandao. Taratibu za kushiriki Mkutano Mkuu na uchaguzi wa Viongozi wa TDC […]

Mazishi ya Hayati. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli

  BARAZA LA DIASPORA WATANZANIA DUNIANI – TDC GLOBAL LINAWAKARIBISHA DIASPORA WOTE NA UMMA KUSHIRIKI MUBASHARA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU HAYATI DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MOJA KWA MOJA KWA NJIA YA MTANDAO WA ZOOM. WASHIRIKI WOTE TUTAFUATILIA TARATIBU ZA MAZISHI KAMA RATIBA YA SERIKALI INAVYOONYESHA NA BAADA YA MAZISHI TUTA KUWA NA DUA/MAOMBI […]

KUAHIRISHWA Kwa Kongamano la Wanawake la TDC Global

Kongamano la Wanawake la TDC Global lililokuwa lifanyike tarehe 20 Mach, 2021 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni kwa saa za Tanzania kupitia mtandao wa Zoom, limehairishwa hadi tarehe nyingine itakayopangwa baadaye. Taarifa zaidi kuhusu kongamano hilo zltatolewa na uongozi wa TDC Global. Kamati kuu inawashukuru Diaspora kwa utulivu na matumizi bora ya […]

Taarifa Kuhusu Mkutano Mkuu 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global linayo furaha kubwa sana kuwatangazia kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeidhinisha Mkutano Mkuu wa TDC Global na siku ya Diaspora kufanyika jijini Dodoma Tanzania tarehe 23 – 26 June 2021. Kutokana na maamuzi hayo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, TDC Global […]

6th Zanzibar Diaspora Conference 2019

President’s Office and Chairman of the Revolutionary Council and Ministry of Foreign Affairs of East Africa Cooperation announce an invitation to attend the 6th Tanzania Diaspora and Investors Conference to be held in Zanzibar from 14-15 December 2019  

TAARIFA-YA-MKUTANO-MUU-WA-TDC-GLOBAL-TALLIN-2019

[vc_row][vc_column][vc_column_text] TDC-Global ilifanya mkutano wake mkuu wa kwanza tarehe Aprili 10,2019 katika ukumbi wa meliya Tallink mjiniTallin nchini Estonia.Mkutano huo ulishuhudiwa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mhe. Salum Maulid Salum,Mhe. Balozi Anisa Mbega, Mkurugenziwa Dawati la Diaspora la Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Willibrod SIaa […]

TANZANIA GLOBAL DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE to be held on Wednesday 9th April 2019 in Stockholm Sweden

[vc_row][vc_column][vc_column_text]You are invited to the Tanzanian Global Diaspora Council (TDC Global) is organising  the inaugural TANZANIA GLOBAL DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE to be held on Wednesday 9th April 2019 in Stockholm Sweden, at the TALLINK Cruise Ship Conference Room from 10.00am – 5.00pm. The Conference is being organised in collaboration with the Embassy of the United […]