Malipo ya Ada ya Uanachama
Karibu kujiunga na Baraza la Diaspora Watanzania Duniani (TDC Global).
TDC Global inawakaribisha Wanachama na Watanzania wa Diaspora kujiunga uanachama na kulipa ada zao kwa urahisi zaidi.
Tafadhali chagua kiwango cha ada unachotaka kulipa hapa chini, kisha kamilisha malipo yako
Ada ya uanachama ni Dola 5 kwa mwezi, na unaweza kulipa kila miezi mitatu, ama miezi sita, au mwaka mzima.