Fomu ya maombi ya uongozi wa kamati za TDC Global itajazwa na mwanachama mwenye nia ya kuomba nafasi ya uongozi katika baraza la diaspora watanzania duniani. NB. Tarehe ya mwisho kujaza fomu ni tarehe 30 Novemba 2024.
Step 1 of 4
Δ