MWALIKO WA MAFUNZO MTANDAONI (WEBINAR)

Wizi wa Utambulisho & Ulinzi wa Faragha (Identity Theft & Privacy Protection)
Jinsi ya kujilinda wewe na familia yako katika ulimwengu wa kidijitali
Karibu ujiunge nasi katika semina muhimu ya uelimishaji iliyoandaliwa mahsusi kwa Watanzania wanaoishi diaspora na waliopo nyumbani
Utajifunza jinsi wizi wa utambulisho unavyotokea, dalili za tahadhari za kuangalia, na hatua rahisi lakini muhimu za kujilinda mtandaoni.
📅 Tarehe: Jumamosi, 14 Februari
🕔 Muda: Saa 11:00 jioni (Saa za Tanzania)
💻 Mfumo: Zoom
Zoom ID: 849 1117 0633
Nenosiri: 604173
Jiunge kupitia kiungo HIKI:
Wote mnakaribishwa. Tafadhali shiriki taarifa hii na ndugu na marafiki.
Stay informed, stay safe
Diaspora na nyumbani
TEHAMA – TDC Global.
