Matumizi ya AI katika Maandalizi ya Taarifa

News Tehama Webinar

πŸ“£ TANGAZOπŸ””

DIASPORA NA NYUMBANI

Tanzania Global Diaspora Council IDARA YA TEHAMA inawaletea WEBINAR Maalum:

Matumizi ya AI katika Maandalizi ya Taarifa

πŸ“… Tarehe: Jumanne, 2 Septemba 2025

⏰ Muda: Saa 2:00 usiku (20:00 TZ)

Mahali: πŸ“ Mtandaoni (Zoom)

πŸ‘‰ Mada Kuu:

  • AI ni nini na inavyofanya kazi
  • Faida za AI kwa maandalizi ya taarifa (ripoti, hotuba, barua, mitandao ya kijamii)
  • Hasara na changamoto za matumizi ya AI
  • Mikakati bora ya kutumia AI kwa usalama na ufanisi
  • Mazoezi ya vitendo ya kuandaa taarifa kwa kutumia AI

⏳ Muda wa mafunzo: Saa 20:00 – 22:00 (EAT)

πŸ”— Jiunge hapa:
https://bit.ly/424OEAD

πŸ†” Meeting ID: 860 2000 3312
πŸ”‘ Passcode: 132530

Mtoa Mada: Phesto Mwakyusa (Altimetrix)

Karibuni wote!

TEHAMA
TDC Global

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.