TANSIN Kuitambua Na Kushirikiana na TDC Global

Baraza la diaspora Watanzania duniani – TDC Global limepokea barua ya utambuzi rasmi wa
ushirikiano wa kiutendaji kutoka chama cha watanzania wanaosoma India – TANSIN. Kufuatia
utambuzi huo, uongozi unapenda kuwajulisha kuwa viongozi wawili kutoka chama cha
TANSIN watajumuishwa katika Bodi ya Ushauri TDC Global kwa mujibu wa katiba. #8.1b

Soma zaidi katika barua ifuatayo

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.