Moja ya majukumu ya kikatiba ya mkutano mkuu wa TDC Global ni kuchagua viongozi wake. Katika mkutano mkuu uliofanyika jijini Dar es salaam Tanzania, tarehe 12 Julai 2023, wana diaspora walitumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi ambao walipewa dhamana ya kuiongoza jumuiya kwa mhula kama katiba inavyo elekeza.
Ifuatayo ni orodha ya majina ya viongozi na nafasi zao katika Kamati Kuu ya TDC Global.
Matokeo ya uchaguzi wa viongozi 2023.
A. Wajumbe kamati kuu
1. Elizabeth Pedersen
2. Neema Kitilya
3. Baraka Musa
4. Sara Mwakisu
5. Emmanuel Mwamwembi
6. Dkt. Said Kuenda
Naibu Katibu Mkuu
Dkt. Dickson Manga
Katibu Hazina
Seynab Haji
Katibu Mkuu
Adolph Makaya
Makamu Mwenyekiti.
Jumaa Magambo
Mwenyekiti
Bupe Amon Kyelu