Webinar kuhusu Social Engineering & Online Safety

Taarifa kwa Jamii đŸŒŋ

Webinar kuhusu Social Engineering & Online Safety

Mnakaribishwa kushiriki Semina ya mtandaoni ya uhamasishaji kuhusu
Social Engineering & Usalama Mtandaoni.

Semina hii itaeleza mbinu za kawaida zinazotumika kwenye ulaghai wa mtandaoni, kujifanya watu wengine, na udanganyifu wa kidijitali, pamoja na njia rahisi za kujilinda na kutumia mtandao kwa usalama.

🗓 Tarehe: Jumamosi, tarehe 7
⏰ Muda: Saa 11:00 jioni (Saa za Tanzania)
đŸ’ģ Jukwaa: Zoom
đŸ”ĸ Meeting ID: 840 6000 8915
🔐 Nenosiri: 431039

Kujiunga zoom moja kwa moja, fuata kiungo hiki hapa chini. (Unaweza ulizwa ku accept Bit.ly, terms, accept na itakupeleka zoom, siku na saa ya semina.)

SocialEngineering And Online Safety Zoom Meeting

JIUNGE ZOOM

Lengo ni kuongeza uelewa na utulivu — si kuleta hofu.
Wote mnakaribishwa.

TEHAMA – TDC GLOBAL

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.