Idara ya Hazina inawakumbusha wanachama kulipa Ada zenu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano huo. Ulipaji wa Ada ni hitaji la kikatiba kuwawezesha wanachama kushiriki katika uchaguzi, kwa maana ya kuchagua au kuchaguliwa katika uongozi. Tafadhali kamilisha malipo yako ya Ada kabla ya tarehe 20 Disemba 2024.
1 Comment
Njia raisi ya kuripa Ada ni hipi kwani nilijaribu last time pesa haikupita.