Webinar – Matumizi Bora Ya TEHAMA

Webinar – Matumizi Bora Ya TEHAMA

Kamati ya mitandao ya kijamii na tekinolojia ya habari na mawasiliano – TDC Global,
inawakaribisha wanachama, diaspora na watanzania kwa ujumla katika webinar ya mafunzo ya Tehama na matumizi bora ya mitandao ya kijamii na akili mnemba (Artificial Intelligence).

Mada
1. Matumizi Mitandao ya TDC Global
2. Usalama katika mitandao ya kijamii na matumizi ya akili mnemba.
3. Unatumika au unatumia mitandao ya kijamii

Msimamizi na Mtoa mada: Phesto Mwakyusa, Mhandisi TEHAMA, Mwenyekiti Kamati ya
Tehama TDC Global
Muongozaji: Muhandisi Jonathan Kayumbo. Katibu kamati ya Tehama TDC Global.
Muda: Saa kumi na nusu jioni-16:30 hadi saa kumi na mbili na nusu usiku-18:30. Tanzania
Tarehe: 19 Oktoba 2024.

Join Zoom Meeting
https://us02web.zoom.us/j/88550190157?pwd=JQibBwhacHN5ipQwyb0K19scPko0Bh.1
Meeting ID: 885 5019 0157
Passcode: 469041

Wote mnakaribishwa.

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.