Maboresho Ya Katiba Ya TDC Global

Uongozi wa TDC Global unapenda kuwajulisha wanajumuiya wake na watanzania duniani kuwa, mchakato wa kuboresha katiba ya TDC Global umeanza. Kuanza kwa mchakato huo kunatoa nafasi kwa wadau wa diaspora […]

Maandalizi ya Siku Ya Diaspora Na Nyumbani 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Dunian – TDC Global kwa heshima kubwa linawatangazia Diaspora Watanzania Duniani kuzinduliwa rasmi kwa usajili wa ushiriki wa mkutano mkuu na siku ya Diaspora Watanzania Duniani […]

Diaspora Na Nyumbani 2021

https://tdcglobal.org/wp-content/uploads/2020/12/TDC_mwenyekiti.mp4#t=2 Mwenyekiti wa TDC Global, Bi Bupe Amon Kyelu akitoa taarifa kuhusu tukio kubwa la TDC Global linalojulikana kwa jina la Diaspora Na Nyumbani 2021 Ambalo linatarajiwa kufanyika mjini Dodoma […]

Karibu Kujiandikisha TDC Global

Mwenyekiti wa TDC Global Bi. Bupe Amon Kyelu anawakaribisha Diaspora Watanzania Duniani kujiunga na Baraza la Diaspora wa Tanzania duniani TDC GLOBAL. Kujiunga uanachama tafadhali bonyeza kiungo hiki TDC GLOBAL […]

Taarifa Kuhusu Mkutano Mkuu 2021

Baraza la Diaspora Watanzania Duniani – TDC Global linayo furaha kubwa sana kuwatangazia kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeidhinisha Mkutano Mkuu wa TDC Global na siku ya […]